LINDI PRESS CLUB
Serikali wilaya ya Nachingwea yaipongeza bodi ya korosho. Na Ahmad Mmow, Nachingwea. Bodi ya korosho Tanzania (Cashewnut Board of Tanzania/CBT) kwa usimamizi mzuri wa mauzo ya korosho msimu wa 2025/2026. Pongezi hizo zimetolewa leo mjini Nachingw…
Read moreRUNALI wafanikiwa kuuza kilo 20.6 milioni za korosho, bei ya juu shilingi 2,610 na bei ya chini shilingi 2,460. Na Ahmad Mmow. Chama kikuu cha ushirika cha RUNALI kilichpo mkoani Lindi kimefanikiwa kuuza tani 20,000 na kilo 600 za korosho ghafi z…
Read moreBodi ya korosho yawahimiza wakulima wathibiti ubora wa korosho. Na Ahmad Mmow. Wakulima wakorosho nchini wamekumbushwa na kuhimizwa wahakikishe korosho zao zinakuwa na ubora unaostahili kabla ya kupeleka maghalani. Wito huo kwa wakulima wao hilo …
Read moreLindi Mwambao wafanikiwa kuuza tani 5,106, bei ya juu 2,460 bei ya chini 2,310. Na Ahmad Mmow. Chama kikuu cha ushirika cha Lindi Mwambao kilichopo mkoani Lindi, leo kimefanikiwa kuuza korosho ghafi za daraja la kwanza zenye uzito wa tani 5,106 n…
Read moreTANECU cha uza korosho ghafi za daraja la kwanza zenye uzito wa tani 26,000. Na Ahmad Mmow. Chama kikuu cha ushirika cha TANECU(Tandahimba and Newawala Cooperative Union) leo tarehe 08.11.2025 katika mnada wa kwanza wa zao la korosho hapa nchini …
Read moreMlinzi wa uwanja wa ndege atiwa nguvuni kwa wizi wa pikipiki Na Ahmad Mmow, Lindi. Jeshi la Polisi mkoani Lindi, kwa kushirikiana na wenzao wa Mkoa wa Mtwara, Septemba 20,2025 limemkamata mlinzi wa uwanja wa ndege wa Kilwa Masoko, Shaha Athuman Mo…
Read moreMBARONI KWA KUKUTWA NA MIUNDOMBINU YA MADARAJA. Na Ahmad Mmow, Lindi. Jeshi la Polisi mkoani wa Lindi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kukutwa na miundombinu ya kujengea madaraja(scaffolds) 511 pamoja na rimu ya tairi ya gari kubwa (lori)…
Read moreBei ya mbaazi yapanda, mrajsi atoa msimamo wa serikali usajili wa vyama. Na Ahmad Mmow, Nachingwea. Bei ya mbaazi imeongezeka nakufikia bei ya juu ya shilingi 790 na bei ya chini shilingi 730 kwa kila kilo moja. Katika mnada wa nne kwa msimu wa m…
Read moreWaziri mkuu Majaliwa awatahadharisha wana CCM wasibweteke. Na Ahmad Mmow, Nachingwea. Mjumbe wa halmashauri kuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewatahadharisha wanachama wa chama hicho wasibweteke kusaka kura. Mheshimiwa Ma…
Read moreUWT Nachingwea yalia na malezi ya watoto na ukatili wa kijnsia. Na Ahmad Mmow, Lindi. Kukosekana kwa malezi sahihi kumetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu za mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia. Hayo yalielezwa na mwenyekiti wa Umoja wa Wan…
Read more