RC - TELACK AWAOMBA WANALINDI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MKAAZI.

 RC - TELACK AWAOMBA WANALINDI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MKAAZI.

Ikiwa zikebaki siku tatu kuelekea katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Mkaazi, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ameomba wakazi wa Lindi kujiandikisha katika daftari la Hilo.

Hayo ameyasema Leo Oktoba 08,2024 katika kikao na wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoa wa Lindi, kilochofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.

Aidha Telack amewaomba Viongozi wa dini kuendelea kuwakumbusha waumini wao kwenda kujiandikisha, sambamba na kupiga kura .

Saidieni kuendelea kuwambusha waumini wenu kwenye nyumba za ibada , waumini wenu sisi ndio wananchi wetu, wakumbusheni kwenda kujiandikisha, wakumbusheni kwenda kupiga kura.” -RC Telack.

Post a Comment

0 Comments