Uzinduzi wa #SautiZaWaandishi
Wasemavyo waandishi kuhusu tasnia ya habari, mambo mengi yameibuka ikiwemo masuala ya ulinzi na usalama kwa waandishi
1. Nusu (50%) ya waandishi wa habari wanaripoti kuwahi kutishiwa, kuteswa, au kushambuliwa katika kazi zao.
2. Waandishi wa habari wa kike wanahisi mara nyingi hawatendewi haki #FreedomOfExpression #SafetyOfJournalists
@jamiiforums
@tamwa
@misatanzania
@twaweza.nisisi
@swedenintz
@usembassytz
0 Comments